Category Archives: Updates

Ushauri wa Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilayani Ngorongoro

Download the Statement | Pakua Waraka huu 1.0 Utangulizi Sisi Watetezi wa Haki za Binadamu tunaofanya kazi zetu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, tumekua tukifuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu katika mgogoro wa ardhi Wilaya ya Ngorongoro na baadhi yetu wamekuwa wakishiriki katika kutaf...
Read More

Andiko la Kisera: Haki za Wafugaji Waishio katika Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro

 UTANGULIZI Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro, Tanzania, ni ardhi ya urithi wa wenyeji wa Ngorongoro ambao ni wafugaji wa jamii za Maasai na Barabaig pamoja na wawindaji wa asili wa jamii ya Hadza. Serikali kushindwa kulinda na kuheshimu haki za wenyeji inachangia kudorora kwa uchumi, mazingira, bioan...
Read More

Press Statement on State Assault on Press Freedom and Freedom of Assembly as Provided by The Constitution of The United Republic of Tanzania

On February 3, 2022 wardens from Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), together with the police force unit, detained six (6) journalists within the Ngorongoro Conservation Area (NCA) in Northern Tanzania. The journalists were searched without warrant, then interrogated, harassed and verball...
Read More

Will Indigenous Communities in Tanzania Manage to Navigate and Survive Climate Change Impacts

By Guest Contributor. In recent years, Tanzania has witnessed a number of climate related disasters namely, flooding, droughts, widespread crop failures, livestock deaths and intensification of climate sensitive diseases especially to the Indigenous communities (Maasai, Hadzabe ) who are still depen...
Read More

Buriani Emmanuel Saringe Naronyo

HISTORIA YA MAREHEMU MPENDWA WETU WAKILI EMMANUEL SARINGE NARONYO TAREHE 22 MACHI 2021 KUZALIWA EMMANUEL SARINGE NARONYO alizaliwa tarehe 5 Juni 1979 katika Kijiji cha Arash, Wilaya ya Ngorongoro, Mkoa wa Arusha. ELIMU EMMANUEL SARINGE NARONYO alisoma Shule ya Msingi Arash kuanzia mwaka 1989 hadi mw...
Read More