Tag Archives: Haki za Binadamu

Ushauri wa Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilayani Ngorongoro

Download the Statement | Pakua Waraka huu 1.0 Utangulizi Sisi Watetezi wa Haki za Binadamu tunaofanya kazi zetu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, tumekua tukifuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu katika mgogoro wa ardhi Wilaya ya Ngorongoro na baadhi yetu wamekuwa wakishiriki katika kutaf...
Read More

Andiko la Kisera: Haki za Wafugaji Waishio katika Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro

 UTANGULIZI Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro, Tanzania, ni ardhi ya urithi wa wenyeji wa Ngorongoro ambao ni wafugaji wa jamii za Maasai na Barabaig pamoja na wawindaji wa asili wa jamii ya Hadza. Serikali kushindwa kulinda na kuheshimu haki za wenyeji inachangia kudorora kwa uchumi, mazingira, bioan...
Read More