Tag Archives: Conservation

Ushauri wa Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilayani Ngorongoro

Download the Statement | Pakua Waraka huu 1.0 Utangulizi Sisi Watetezi wa Haki za Binadamu tunaofanya kazi zetu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, tumekua tukifuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu katika mgogoro wa ardhi Wilaya ya Ngorongoro na baadhi yetu wamekuwa wakishiriki katika kutaf...
Read More