All posts by PINGO's Forum

Katiba Inayopendekezwa na Bunge Maalum

Hatimaye Marais Dkt. Jakaya Kikwete na Dkt. Ali Shein wamepokea Katiba inayopendekezwa kutoka Bunge Maalum la Katiba, ambalo limemaliza kazi ya kujadili Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – kama ambavyo ilikabidhiwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Katika kuikabidhi Katiba hiy...
Read More