Tamko toka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilaya ya Ngorongoro
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kipindi kirefu kumetokea na sintofahamu kuhusu hatima ya ardhi ya wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro. Pamoja na mambo mengine Serikali imekuwa ikijaribu namna mbalimbali ya kutatua mgogoro huo wa muda mrefu huku kukiwa na malalamiko kwa wananchi ya kutoshirikishwa ...
Ushauri wa Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilayani Ngorongoro
Download the Statement | Pakua Waraka huu 1.0 Utangulizi Sisi Watetezi wa Haki za Binadamu tunaofanya kazi zetu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, tumekua tukifuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu katika mgogoro wa ardhi Wilaya ya Ngorongoro na baadhi yetu wamekuwa wakishiriki katika kutaf...
Andiko la Kisera: Haki za Wafugaji Waishio katika Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro
UTANGULIZI Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro, Tanzania, ni ardhi ya urithi wa wenyeji wa Ngorongoro ambao ni wafugaji wa jamii za Maasai na Barabaig pamoja na wawindaji wa asili wa jamii ya Hadza. Serikali kushindwa kulinda na kuheshimu haki za wenyeji inachangia kudorora kwa uchumi, mazingira, bioan...
Press Statement on State Assault on Press Freedom and Freedom of Assembly as Provided by The Constitution of The United Republic of Tanzania
On February 3, 2022 wardens from Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), together with the police force unit, detained six (6) journalists within the Ngorongoro Conservation Area (NCA) in Northern Tanzania. The journalists were searched without warrant, then interrogated, harassed and verball...
Serving IPs Communities in the COVID-19 Pandemic Era
Under the world pandemic, COVID 19, PINGOS Forum is devoted to continue advocating for the land and human rights of IPs work through innovative approaches including training community representatives in shades of trees by maintain distances among participants, hand wash, use of sanitizers among othe...
Eviction of the Maasai from Ngorongoro hovers on the horizon
The Government of the United Republic of Tanzania is arranging eviction of 73,000 out of 93,000 Maasai residents from the Ngorongoro Conservation Area (NCA). Thousands more Maasai pastoralists will be evicted from the neighboring Lake Natron and Lolindo Game Controlled Areas. The reasons given to ju...