Maarifa ya Asili huweza Kuokoa Dunia na Mabadiliko ya Tabia Nchi
Ikiwa ni siku ya pili ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira na mabadiliko ya tabia nchi, dunia imeaswa kusikiliza jamii za asili kutokana na uelewa wao na maarifa ya asili ambayo huwapa kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi. katika mahojiano na BBC Swahili, mratib...