pingos

Tamko toka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilaya ya Ngorongoro

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kipindi kirefu kumetokea na sintofahamu kuhusu hatima ya ardhi ya wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro. Pamoja na mambo mengine Serikali imekuwa ikijaribu namna mbalimbali ya kutatua mgogoro huo wa muda mrefu huku kukiwa na…

Ushauri wa Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Wilayani Ngorongoro

Download the Statement | Pakua Waraka huu 1.0 Utangulizi Sisi Watetezi wa Haki za Binadamu tunaofanya kazi zetu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, tumekua tukifuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu katika mgogoro wa ardhi Wilaya ya Ngorongoro na…

Andiko la Kisera: Haki za Wafugaji Waishio katika Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro

 UTANGULIZI Eneo la Ardhi Mseto Ngorongoro, Tanzania, ni ardhi ya urithi wa wenyeji wa Ngorongoro ambao ni wafugaji wa jamii za Maasai na Barabaig pamoja na wawindaji wa asili wa jamii ya Hadza. Serikali kushindwa kulinda na kuheshimu haki za…

Press Statement on State Assault on Press Freedom and Freedom of Assembly as Provided by The Constitution of The United Republic of Tanzania

On February 3, 2022 wardens from Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), together with the police force unit, detained six (6) journalists within the Ngorongoro Conservation Area (NCA) in Northern Tanzania. The journalists were searched without warrant, then interrogated, harassed and…

Call for Applications: Regional Capacity Building for Indigenous Peoples on Business & Human Rights

Among others, this training aims to raise awareness and build skills, competence and confidence on the UNGP and the instruments and processes derived from it, and its relevance to Indigenous Peoples;

Maarifa ya Asili huweza Kuokoa Dunia na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Ikiwa ni siku ya pili ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira na mabadiliko ya tabia nchi, dunia imeaswa kusikiliza jamii za asili kutokana na uelewa wao na maarifa ya asili ambayo huwapa kukabiliana na madhara ya…