Frontpage Slideshow | Copyright © 2006-2012 JoomlaWorks Ltd.

Minorities & the Constitution

This text will be replaced

TANGAZO LA KAZI
 
NAFASI YA  UDEREVA
 

PINGOs FORUM INAPENDA KUWATANGAZIA  WADAU WAKE WOTE, NA KWA YEYOTE ANAYEFIKIRI ANA SIFA ZA KUOMBA NAFASI HII YA UDEREVA ANAHIMIZWA KUIOMBA.

SIFA ZA MWOMBAJI:

 

  • AWE ANA UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA MITANO YA UDEREVA
  • AWE NA HISTORIA NZURI YA KIMAADILI, KUJITUMA NA UTII KAZINI.  HII NI PAMOJA NA MAHALI POPOTE  ALIKOWAHI KUAJIRIWA/AU KUFANYA KAZI.
  • AWE NA UWEZO NA UZOEFU WA KUSAFIRI SAFARI NDEFU ZA KIKAZI MAENEO MBALIMBALI YA TANZANIA
  • AWE NA ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA NA KUENDELEA

MADEREVA WALIO  NA UTAALAM WA KIUFUNDI AU KUJUA LUGHA YA KIINGEREZA WANAHIMIZWA KUOMBA NAFASI HII KWANI UTAALAM WA KIUFUNDI AU KUJUA LUGHA YA KIINGEREZA KUTAMWONGEZEA SIFA YA NYONGEZA YA KUFIKIRIWA KWA NAFASI HII.

MWENYE KUOMBA NAFASI HII AWASILISHE BARUA YAKE YA MAOMBI PINGOs KABLA YA TAREHE 5 AGOSTI 2011 PAMOJA NA LESENI HAI YA UDEREVA KWA KUTUMIA ANUANI IFUATAYO;


MKURUGENZI  MTENDAJI
PINGOs FORUM.
S.L.P 14437,
ARUSHA
BARUA PEPE: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Siteloc