All for Joomla All for Webmasters
The cart is empty

Reports & Publications

folder Katiba Inayopendekezwa 2014

Nyaraka mbalimbali kama zilivyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba.

*Various documents as provided by the Constitutional Review Commission.

Documents

pdf Historia ya Muungano Popular

Download (pdf)

Historia_ya_Muungano_sw.pdf

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili 1964 kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja.

pdf Katiba Inayopendekezwa Oct 2014 Popular

Download (pdf)

Katiba Inayopendekezwa Oct 2014.pdf

Katiba Inayopendekezwa, kama ilivyowasilishwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais Mohammed Shein Oktoba 2014, Dodoma.

pdf Katiba ya Zanzibar ya 1984 Popular

Download (pdf)

Katiba_ya_Zanzibar_ya_1984_(Toleo_la_2010)_en.pdf

Toleo hili la Katiba ya Zanzibar ya 1984 linajumuisha na kuweka pamoja marekebisho yote ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanywa kuanzia mwaka 1985 hadi tarehe 13 Agosti, 2010 kwa madhumuni ya kurahisisha marejeo ya Katiba

pdf Maoni ya Mabaraza ya Katiba Popular

Download (pdf)

MAONI YA MABARAZA YA KATIBA KUHUSU RASIMU YA KATIBA.pdf

Soma maoni ya Mabaraza ya Katiba kuhusu Rasimu ya Katiba

pdf RASIMU (Final) Popular

Download (pdf)

RASIMU (Final).pdf

Rasimu ya kwanza ya Katiba inayopendekezwa kabla ya maoni ya Mabaraza ya Katiba.

pdf Rasimu ya Pili ya Katiba ya JMT 2013 Popular

Download (pdf)

Rasimu ya Pili ya Katiba ya JMT 2013.pdf

Rasimu ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama ilivyokabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais Mohammed Shein Disemba 2013, Dar es Salaam.

pdf Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 Popular

Download (pdf)

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83..pdf

 

Toleo hili la Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sheria Namba 8 ya mwaka 2011 limezingatia na kuweka pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 28 Februari, 2012 na limechapishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Urekebu Sheria Sura ya 4.

 

pdf Study: Electoral Systems and Electoral Commission Popular

Download (pdf)

utafiti -electoral systems and electoral commission .pdf

 

This study was commissioned by the Constitutional Review Commission to review various aspects of the electoral systems and the election management bodies in the United Republic of Tanzania. It aimed at reviewing judicial opinions, academic writings, various reports to the United Republic and political debates on Tanzania’s electoral systems and election management bodies so as to capture the political dynamics and the multiparty democratic imperatives of the institution of elections.

 

pdf Taarifa: Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Popular

Download (pdf)

TAARIFA_KWA_VYOMBO_VYA_HABARI_WAJUMBE_BUNGE_LA_KATIBA_-_MAWASILIANO_2_en.pdf

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.

pdf Takwimu za Ukusanyaji Maoni ya Wananchi Popular

Download (pdf)

TAKWIMU ZA UKUSANYAJI WA MAONI YA WANANCHI.pdf

Takwimu za Ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.

pdf The Constitution of the United Republic of Tanzania Popular

Download (pdf)

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania _English Version_ 2009.pdf

The official Revised version in English of “KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977”. This revised edition of the Constitution of the United Republic of Tanzania incorporates and consolidates all th amendments made therein by the Constituent Assembly in 1977 up to the 14 Amendment of 2005 and it is printed and published under section 4 of the Laws Revision Act Chapter 4.

pdf Utafiti: Maadili na Uwajibikaji Popular

Download (pdf)

utafiti - maadili na uwajibikaji.pdf

 

Taarifa hii ya utafiti inahusu maadili na uwajibikaji wa viongozi. Moja ya hoja iliyojitokeza sana katika mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba mpya ni maadili na uwajibikaji wa viongozi. Hivyo utafiti ulijaribu kuangalia changamoto mbalimbali zinazohusu maadili na uwajibikaji kuhusiana na taasisi kadhaa za umma na baadaye kutoa mapendekezo. Utafiti umepitia Katiba mbalimbali, sheria, maamuzi ya kimahakama, maandiko ya wanazuoni pamoja na taarifa mbalimbali. Hali kadhalika, utafiti ulijaribu kuangalia ni namna gani nchi nyingine zimejaribu kuzitatua changamoto zinazofanana na zile za Tanzania, halafu kuangalia kama utatuzi huo unaweza kufaa katika mazingira halisi ya Tanzania.

 

pdf Utafiti: Madaraka ya Rais Popular

Download (pdf)

utafiti- madaraka ya rais.pdf

 

Hii ni taarifa ya utafiti uliofanywa kuhusiana na madaraka ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Utafiti ulilenga vipengele vya madaraka ya Rais ambavyo vimejitokeza katika maoni ya wananchi. Vipengele hivyo ni madaraka ya uteuzi, madaraka ya kutangaza hali ya hatari, madaraka ya kutoa misamaha ya adhabu, uwajibikaji na udhibiti wa madaraka ya Rais, na nafasi ya Rais wakati wa uchaguzi.

 

pdf Utafiti: Masuala ya Muungano Popular

Download (pdf)

utafiti - masuala ya muungano .pdf

 

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni mfano wa muungano uliotokana na kuungana kwa mataifa huru katika bara la Afrika. Kama ilivyo kwa miungano mingine, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekuwa ukikabiliwa na changamoto kadhaa. Hata hivyo, utafiti huu uliangalia maeneo kumi na moja tu. Mambo hayo ni Muungano na historia yake fupi, kero za Muungano, muundo wa Muungano na hadhi ya Mkataba wa Muungano katika Katiba. Mengine ni Mkinzano baina ya Katiba ya Muungano na Katiba ya Zanzibar, hadhi ya Washirika wa Muungano katika ushirikiano wa kimataifa, utaratibu wa kutunga sheria kuhusu mambo ya muungano na masuala ya fedha baina ya Serikali ya Muungano na Washirika wa Muungano. Pia kuna maeneo ya utumishi katika Serikali ya Muungano, utatuzi wa migogoro na uwezekano wa upande mmoja kujitoa kwenye Muungano.

 

pdf VIAMBATISHO VYA RIPOTI YA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA Popular

Download (pdf)

VIAMBATISHO VYA RIPOTI YA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA .pdf

Newsletters

Please Subscribe to our Newsletter for latest information from PINGO's Forum

About Us